![]() |
| Igizo lililo sisimua toka kwao BABATAN. |
![]() |
| Joseph Sayayi naye alikiri kumwachisha mwanae shule na kumwozesha kutokana na kutojua umuhimu wa elimu kwani naye hakusoma. |
![]() |
| Hakika wananchi wa kijiji hiki walivutiwa sana na masomo na ushauri uliokuwa ukitolewa na timu Caravan Route. |
![]() |
| Barabara ilikuwa haionekani...Hata hivyo daadaye safari iliendelea...kukifikia kijiji kingine kujionea changamoto...ITAENDELEA. |
Tupe maoni yako












0 comments:
Post a Comment