![]() |
| Rais JK akihutubia wafanyakazi na wananchi kwenye mgodi wa Muwekezaji mzawa na mzalendo Baraka anayemiliki kampuni ya Baraka Gold Mine iliyoko mkoani Geita. |
![]() |
| Rais Jakaya mrisho Kikwete akipata picha ya pamoja na muwekezaji mzawa na mzalendo Baraka Ezekiel anayemiliki kampuni ya Baraka Gold Mine iliyoko mkoani Geita |
![]() |
| Sasa tunaelekea kwenye mradi. |
![]() |
| Rais JK alipata fursa ya kutembelea eneo la mradi kujionea hali ya uchimbaji kwa kampuni ya Baraka Gold Mine iliyoko mkoani Geita |
![]() |
| Kazi ya uchimbaji ikiendelea. |
![]() |
| Eneo la mradi ambalo limeajiri vijana wengi wazawa hivyo kupunguza tatizo la ajira nchini. |
Tupe maoni yako
C.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
F.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
A.jpg)
B.jpg)
.jpg)
0 comments:
Post a Comment