| Eneo la washiriki kongamano hilo. |
| Mijadala ikiendelea na uchangiaji wake. |
| Kila mmoja alikuja na kipaumbele chake. |
| Viongozi wa CCM kada mbalimbali. |
| Wasira akizungumza na wadau wa kongamano. |
| Wananchi waliohudhuria. |
| Umakini zaidi ndani ya kongamano hilo lililofanyika kwenye ukumbi wa BOT Capri point Mwanza. |
| Shughuli imekwisha kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Dk. Antony Diallo, Katibu wa CCM Ester Masunga na Katibu Mwenezi wa CCM nchini Nape Mnauye. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment