![]() |
| Ile unaingia tu katika soko la Kimataifa la samaki Mwaloni Kirumba jijini Mwanza pembeni kushoto langoni kuna wachuuzi wa kuni lakini sikujua zinakotoka. |
![]() |
| Magugu maji kando kando mwa mwalo huu ulio pembezoni mwa ziwa. |
![]() |
| Wa mazingira mpooo..? |
![]() |
| Zao la ndizi limeshamiri kweli sokoni hapa. |
![]() |
| MitumbwizZ... |
![]() |
| Nyanya area... |
![]() |
| Bidhaa zisaririshwazo kwaajili ya ujenzi. |
![]() |
| Sekta ya dagaa... |
![]() |
| Dagaa ni bidhaa inayosukuma kwa asilimia kubwa uchumi wa wakazi wa Mwanza hivyo wafanyabiashara wengi huwa bize wakishughulika mkono kwa mkono kuhakikisha shughuli zinasonga. |
![]() |
| Mlima Dagaa, kufika kileleni dakika sifuri. |
![]() |
| Mzigo full packed tayari kwa biashara kubwa. |
![]() |
| Kila kukicha malori ya uzito mbalimbali huingia sokoni hapa na kutoka na shehena za kutoka za bidhaa za samaki kwaajili ya soko la Afrika Mashariki na Kati. |
Tupe maoni yako













0 comments:
Post a Comment