Kuna kitu alikuwa anakishangaa.....!!!! "dUH NiNakipaji uspime kunisikia nikiimba!!"
Zoezi la kumsaka mwakilishi wa mkoa wa Mwanza limefanyika leo jijini hapa, jamaa huyu ambaye hakujulikana kuwa anatoka wapi, au wilaya gani au kisiwa gani jicho la kamera yetu lilimnasa toka eneo la usaili mlango wa Club Fusion hadi njia ya uelekeo wa barabara ya Makongoro - Airport na hapa alikuwa amefika eneo la jengo la Ofisi za CCM Mkoa. Sijui alifanikiwa????
Ijumaa ya Kibingwa Imefika Ndani ya Meridianbet
-
SIKU ya leo unaweza kuanza Wikendi yako vyema kabisa kwa kubashiri mechi
zote hapa na Meridianbet. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo
kwaajili y...
Atakuwa anatokea Ukerewe huyu
ReplyDelete