![]() |
| Awali Meya wa Ilala Jerry Silaa alipata fursa ya kusaini kitabu cha wageni. |
![]() |
| Wageni hawa toka Manispaa ya Ilala jijini Dar es salaam ni viongozi madiwani na wakuu wa idara nyeti katika ofisi za Manispaa. |
![]() |
| Engo nyingine ya wageni. |
![]() |
| Eh bana eeeh...Hizi ndizo tuzo mbalimbali zilizopo ndani ya ofisi za jiji la Mwanza. |
![]() |
| Afisa Uhusiano wa jiji la Mwanza Joseph Mlinzi akitoa malezo juu ya Historia ya jiji la Mwanza, changamoto na harakati zake za shughuli mbalimbaliza kimaendeleo. |
![]() |
| Kila kitengo kilitoa maelezo juu ya utendaji wake na kisha maswali yakapata nafasi yake. |
![]() |
| Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa (kushoto) akimkabidhi bao la kisasa Mstahiki meya wa jiji la Mwanza kama zawadi ya ushirikiano kwa Majiji hayo. |
![]() |
| Sasa ni picha ya pamoja kwa majiji dada Mwanza na Ilala. |
![]() |
| Picha ya pamoja Ilala na Meya Jerry Silaa. |
Tupe maoni yako












0 comments:
Post a Comment