![]() |
| Kibao elekezi kwa hospitali ya Kolandoto mkoani Shinyanga. |
![]() |
| Tambuka reli mkoani kuingia mkoa wa Shinyanga barabara kutokea Mwanza. |
![]() |
| 'Mausafiri' yakivukapo. |
![]() |
| Banda la neema. |
![]() |
| Ze aidia.... |
![]() |
| 'Mwacheni mwalimu aitwe mwalimu' hapa magari yote yalisimama yakimpisha mwalimu huyu aongoze wanafunzi kuvuka, naye 'Ticha' alitumia vyema chansi hiyo kuhakikisha kuwa anakamilisha zoezi hilo. |
![]() |
| Nyenzo za asili kwenye usafirishaji. |
Tupe maoni yako








0 comments:
Post a Comment