Huyu ndiye J One, Msanii katika mahadhi ya Bongo Flava kutoka katika mji wa madini Kahama. Anatambulisha Ngoma yake mpya ikiambatana na Video akimshirikisha Msanii wa Mwanza Baraka Prince, Ngoma Inakwenda kwa jina la Kisharo sharo.
Chekshia video ya J One ft Baraka Prince- Kisharo Sharo .
0 comments:
Post a Comment