Niko kwenye Bazdei ya Gerlard Hando,mahali fulani, mamwela wametanda kila sehemu at list kila watu watatu wanamwela wao, Eh bana duuuh..!! raha nazo zimetanda, cha ajabu sasa ---...taa zote zimezimwa na 'mabloga' haturuhusiwi kutumia flash, soo... sory wadau sitoweza pata picha kabisa mahala hapa. Happy Birthday G. Hando.
Kaka tunajuwa wewe ni mkali kwenye ufukunyungu kwanini hukufanya taiming hata mwisho mwisho wakati watu wamelewa iri utupatie mapicha? au kulikuwa hakuna maji ya mende na vikali? tupe picha bana
Kaka tunajuwa wewe ni mkali kwenye ufukunyungu kwanini hukufanya taiming hata mwisho mwisho wakati watu wamelewa iri utupatie mapicha? au kulikuwa hakuna maji ya mende na vikali? tupe picha bana
ReplyDelete