Kwa jiji la Mwanza kuna kundi la ngoma asili laitwa Kadogoli likihusisha vijana kutoka kisiwa cha Ukerewe. Eh bana ee kwetu ni sehemu ya utalii... eNjOy...!!!
Nchi 10 zenye madeni makubwa zaidi Afrika
-
Kwa nchi nyingi, fedha ambazo zingetumika kwa maendeleo kwenye sekta za
afya, elimu na miundombinu sasa zinaelekezwa kulipia madeni.
Hapo hapo...watu weweeee nimewahi kusikia jina la ngoma kwetu/songea twaiita MADOGOLI ...
ReplyDeleteLuga shabihiana kama leka tutigike... Aaaah mambo ya Kibantuuuu!!! @ Yasinta
ReplyDeleteNkabaa nimekuongezea mzigo wa pili ndugu mtizamaji....
ReplyDelete