![]() |
| Ukarabati huu unaendelea kwa kusuasua ingawa juhudi za wanasiasa zinafanyika kuhimiza uharaka. |
![]() |
| Katika daraja la Big Bite ambako ujenzi unaendelea mabari hayana njia ya kupita zaidi ya watu kujipenyeza pembezoni na kuvuka kwenye ki-ki-kijidaraja. |
![]() |
| Ujenzi wa daraja hili unachamngamoto nyingi sana mojawapo ni chemchem ya maji. |
![]() |
| Sina uhakika kama vifaa vya ujenzi kwa daraja hili linalohitaji nguvu ya ziada kama vinatosha kwani uondoshaji wa maji unafanywa kwa kutumia ndoo badala ya pump ya kufyonza maji. |
![]() |
| Muonekano wa daraja. |
![]() |
| Msamaria mwema akimvusha kikongwe kwenye ki-ki-kijidaraja kilichotengenezwa kwa wavukao kwa miguu |
![]() |
| Kwa ukaribu zaidi kijidaraja hicho kisichosalama. |
Tupe maoni yako








0 comments:
Post a Comment