| Mratibu wa Redd's Miss Kinondoni 2012, Vivien Sirikwa akiongea machache. |
| Mmiliki wa hoteli ya JB Belmounte ambao ni wadhamini wa Redd's Miss Kinondoni 2012, Bw. JB akiongea katika uzinduzi wa kambi iliyopo katika hoteli hiyo. |
| Washiriki wa Kinyang'anyiro cha Redd's Miss Kinondoni wakiwa katika picha ya pamoja. |
| Baada ya uzinduzi warembo waliburudika na sebene. |
| Baada ya uzinduzi kitu cha sebene. |
| ...Aha ilikuwa ni raha sana. |
| Mauno nayo yalikuwepo. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment