![]() |
| Mchungaji wa kanisa la Anglican akiongoza ibada ya mazishi ya marehemu Elisha Paul aliyefariki tarehe 4/09/2012 katika hospitali ya wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza. |
![]() |
| Watu wa karibu na marehemu Elisha Kulwa ambaye ni mmoja kati ya vijana wanaharakati walifurika na kuhudhuria mazishi hayo yaliyofanyika kijiji cha Misasi wilayani Misungwi mkoani Mwanza. |
![]() |
| Dada wa marehemu akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa kaka yake. |
![]() |
| Wingu zito la majonzi lilitanda kwa ndugu jamaa na marafiki waliofika kwenye safari ya mwisho ya marehemu Elisha Kulwa. |
![]() |
| Hali ilikuwa tete kwa ndugu zake wa karibu. |
![]() |
| Safari kuelekea makaburini... |
![]() |
| Mwili katika ibada kuilaki nyumba yake ya milele. |
![]() |
| Picha ya pamoja kwa familia makaburini. |
![]() |
| Sister Rodha Ndamanyhilu katikati akiwa na ndugu wakaribu wa marehemu Elisha Kulwa. |
![]() |
| Na gari letu la homu.."Furahini katika bwana tena nasema furahini" |
![]() |
| Mr & Mrs Isaac Ndamanyhilu wakiwa na watoto wao kwenye shamba la familia ambako ndiko alizikwa marehemu mpendwa wao Elisha Paul ambaye ni mdogo wake bw. Isaac. |
![]() |
| Mie na katotoo na kwa chati ni my sis Rodha. |
Tupe maoni yako












0 comments:
Post a Comment