![]() |
| Kaluchumvi mwaaa kalupilipili mwaa inakolea kwa shingo! |
![]() |
| Pumpu kwaajili ya kunyunyizia dawa kwa mazao. |
![]() |
| Wale wa kilimo kwa umwagiliaji. |
![]() |
| Mbuzi mbegu kutoka sauzi' ndani ya banda la Wilaya ya Kwimba. |
![]() |
| Jiko fanisi linalotumia kuni kidogo na lenye kukuwezesha kufanya shughuli nyingi hata za uokaji. |
![]() |
| Ufugaji samaki. |
![]() |
| ChingazzzZ. |
![]() |
| Kamba za manila kwaajili ya uvuvi na uanikaji nguo. |
![]() |
| MitumbazzZ na redimedi. |
![]() |
| Parking area ata Nyamhongolo |
Tupe maoni yako










0 comments:
Post a Comment