![]() |
| Pic up aina ya Toyota Dutsun T387 AAH ikiwa imenasa kwenye moja ya maduka mara baada ya kugongwa na karandinga hilo la mahabusu. |
![]() |
| Utaratibu wa kufaulisha mahabusu ukiendelea kufanywa na kikosi cha kuzuia vurugu FFU jeshi la polisi Mwanza. |
![]() |
| Usalama ulizingatiwa na wananchi walikatazwa kulifikia eneo la tukio umbali wa mita 100. |
![]() |
| Kasheshe ya msongamano barabara ya Kenyata jijini Mwanza. |
![]() |
| Fundi akijaribu kuweka japo sawa kwa muda ili karandinga hilo lipate kuondoshwa eneo hilo kuondoa usumbufu wa kuziba njia ya barabara hiyo muhimu.... |
![]() |
| Si suala la kubeza twahitaji kuboresha vitendea kazi jeshi la polisi nchini kwani ipo siku yatazuka makubwa kuliko hili lililotokea leo. |
Tupe maoni yako










0 comments:
Post a Comment