Twanga Pepeta IJUMAA ya leo 30/03/2012 watazindua album zao mbili kwa mpigo ndani ya jiji la Mwanza. Hii ikiwa ni ziara ya kwanza kwani ni takribani miaka minne kwa vijana hawa hawajafanya show Rock City.KIINGILIO:- Utaua ndege watatu kwa jiwe moja kwani utashuhudia
1.TWANGA
2.UTAINGIA VILLA DISCO
3.BENDI YA HOME ORCH KAMANYOLA.
YOTE KWA TSH 10,000/= TU
UKUMBI VILLA PARK RESORT
!!!!!!Utakosaaaa....uSKOSeeee!!!!!!
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment