Tupe maoni yako
MEYA DKT. NICAS: TUMETENGA MIL. 900 UJENZI WA MADARASA, MIL. 400 KWA AJILI
YA MADAWATI KIBAHA
-
Na Khadija Kalili, Kibaha
MEYA wa Manispaa ya Kibaha, Dkt. Mawazo Nicas, amesema kuwa uongozi wake
pamoja na Mkurugenzi wa Manispaa ya Kibaha wametenga ...
7 hours ago
Duh! kaka G ki ukweli bado tunamhitaji huyu jamaa hapa Mwanza ila basi tena ila sijaipenda hii. Jamaa mpiganaji huyu pia mpenda haki. Namtakia kila la kheri huko aendako ila katukomeshea ujambazi Mkoa wa Mwanza kweli tutamkumbuka daima. Sasa ujambazi utarudi kwa kasi ya ajabu.
ReplyDeleteSasa kuhamishwa kwake ni kwa heri au ni hujuma!! kweli hakuna haki duniani.