Na hii ndiyo drem team ya Giraffe Unique Model 2010, ambapo jumla ya washiriki kumi wamepita katika mchujo na kuingia kwenye mtanange wa tarehe 24/12/2010. Majina ya wanamitindo waliopita ni kama ifuatavyo:- Dorah Mhando, Purity Walele, Asia Dachicalorine Mwakasaka, Diana Mainason, Mariam Rabii, Ritah Samwel, Carina Suleiman na Bilkis Suleiman.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment