Tupe maoni yako
TIMU YA VODACOM TANZANIA YAWAKUMBUKA WATEJA WAO MSIMU WA SIKUKUU KANDA YA
ZIWA
-
Timu ya Vodacom Tanzania Plc kanda ya Ziwa, wakijiandaa kugawa kapu la
Vodacom kwa wateja na wakazi wa Mwanza kwenye viwanja vya soko la samaki
kirumba....
37 minutes ago
asante sana kwakutuletea habari napicha za Arusha endelea kutuabarisha sis tulioko nje ambaye wengine tumetokea ARUSHA siku nyingi tunapenda tujue kinachoendelea nafurahi sana unapo turushia picha za Arusha naomba uturushie picha za maeeneo yamianzini na sanawari ubarikiwe na kazi yako nzuri na mungu azidi kukubariki
ReplyDeletehaina shaka nitafanya juu chini kulikamilisha hilo la tamani ya roho yako.
ReplyDelete