![]() |
| Marafiki wakimtakia kheri na maisha marefu katika siku yake ya kuzaliwa Jack Fish (aliyeketi). |
![]() |
| Mkono wa kheri kutoka kwa kaka. |
![]() |
| Majembe... |
![]() |
| Oyoooooooo....!!!! |
![]() |
| Marafiki zaidi ya ndugu. |
![]() |
| Muda si mrefu marafiki hawa wataanzisha bendi kwani uimbaji na uchezaji mmoja mmoja ulihusishwa. |
![]() |
| Oyoooooo...!!! |
![]() |
| Bonge la picha. |
![]() |
| Hapo vipi? |
![]() |
| " Kaka aksante kwa kunileta mjini" Ilisikika sauti ya Jack Fish .. kisha cheko kuuuuubwa likasikika. |
![]() |
| 'Hazina mtu kuwa na watu' |
![]() |
| Happy birthday Jack Fish. |
Tupe maoni yako












Hongera Sana Jack ss hujatuambia ni Miaka mingapi? Teehe.teeeehe.teeeehe!
ReplyDelete