Tupe maoni yako
WAZIRI AWESO AAGIZA MGAWANYO WA MAJI UWE KWA USAWA
-
Waziri wa Maji, Juma Aweso, akizungumza na waandishi wa habari katika
ziara yake kwenye Mtambo wa Kuzalisha Maji wa Ruvu Juu uliopo Mlandizi,
Kibaha mk...
20 minutes ago
nilifikiri kwetu Nyakato hupapendi maana nilikuwa sioni picha au taarifa yoyote kutoka Nyakato. Nimefurahi kuona maeneo niliyozaliwa na kukulia. Buzuruga, Nyakato mwananchi au wenyewe wanapaita california, Nyakato Mecco Nyakato Sokoni nakwingineko mbona burudani.........
ReplyDeletebm
uk
Nilitaka kusikiza wimbo wa Mwanza ooh Mwanza, Mwanza mji mzuri sio kuangalia picha za hoteli na wazungu. Nitausikilizaje wimbo huo?
ReplyDeleteah ROCKY CITY hapo dah sijui nitarudi lini,,,big up to all my friends at makoroboi street,,seko...tosh

ReplyDelete