BARABARA YA UHURU KAMAINAVYOONEKANA MUDA HUU PITA UONE AKA 'GUSA UNATE' MWENYE HUU USAFIRI ILIKUWA KAMA ANAIGIZA VILE HUKU WATU WAKIMSHANGILIA KWA SPIDI AKAWA ANAVUKA KUELEKEA KELEEEE! BABAKE ALIPOFIKA KATIKATI MAJI YAKAZIDI GHAFLA USAFIRI UKAPUNGUA SPIDI, MARA UKAZIMA, MARA MAJI HAYOOO DIRISHANI, MKOKO UKAWA UKIPELEKWA NA MAJI, MUNGU SAIDIA JAMAA FUNDI WA KUOGELEA AKAFUNGUA MLANGO KWA TABU AKAPIGA MBIZI MPAKA NCHI KAVU. HALI TETE KATIKA PEMBE YA DARAJA JAMANI HILI NI DARAJA ALMAARUFU DARAJA LA WAKOMA LINALOPATIKANA BARABARA YA UHURU JIJINI MWANZA.
Lahaulaaaaaaaaaa. Hii ndio Tanzania Yangu niipendayo ilivyo barabarani http://changamotoyetu.blogspot.com/2010/01/tanzania-yangu-niipendayobarabarani.html
Kaka asante kwa kuwa kiunganishi bora kati ya Mwanza / kanda ya ziwa na ulimwengu Baraka kwako
WCF YAPONGEZWA KWA UTOAJI HUDUMA BORA KWA WANANCHI
-
Na; OWM (KAM) - DODOMA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus
Sangu ameupongeza Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kwa ...
Lahaulaaaaaaaaaa.
ReplyDeleteHii ndio Tanzania Yangu niipendayo ilivyo barabarani
http://changamotoyetu.blogspot.com/2010/01/tanzania-yangu-niipendayobarabarani.html
Kaka asante kwa kuwa kiunganishi bora kati ya Mwanza / kanda ya ziwa na ulimwengu
Baraka kwako