Kanda kabongo akimuhuumia Japhert Kaseba |
Bondia Omari Nampekecha 'peche boy' kushoto akipambana na hasani Kiware wakati wa mpambano huo nampekecha alishinda kwa pointi |
Kaseba akiwa na familia yake pamoja na mashabiki baada ya kushinda mchezo wake. |
Bondia Pendo Njau kushoto akiwa na bondia Llulu Kayage wakati wa mpambano huo |
mashabiki wakiangalia mpambano. |
Wapiganaji wa mpambano wa Kick Boxing kareem kutch kushoto akipambana na Hassani Juma 'Tata Boy' wakati wa mpambano huo kutch alishinda kwa point. |
Wapiganaji wa mpambano wa Kick Boxing kareem kutch kushoto akipambana na Hassani Juma 'Tata Boy' wakati wa mpambano huo kutch alishinda kwa point picha na superdboxingcoach.blogspot.com |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.