ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, March 10, 2013

HABARI Group YAFANYA HARAMBEE NA KUFANIKIWA KUKUSANYA ZAIDI YA MILIONI SITA

Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki katikati akichangia katika harambee ya kikundi cha Habari Group ambao ni waanishi wa Habari waliojikusanya kwa ajili ya kujikwamua kiuchumi na pia kuhudumia jamii isiyojiweza kikundi hicho kinaendeshwa chini  ya jumuiya ya kukuza uchumi Ilala 'Jukuila' kikundi hicho kimezinduliwa March 8 Mlezi akiwa ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angela Kairuki wa pili kulia Udhinduzi huo umedhaminiwa na Mfuko wa Pesheni wa PPF pamoja na Hotel ya Lamaa kushoto ni mratibu wa hafla hiyo Bi, Rabia Bakari 

Mratibu wa Kikundi ya HABARI Group Bi.Rabia Bakari akikabidhi risara ya kikundi hicho wakati wa uzinduzi 

Wana kikundi cha Habari Goup wakijitambulisha mbele ya mgeni rasmi 



Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya habari ambao ni wanachama wa habari group.

WANACHAMA WA HABARI Group WAKICHEZA KWA SHANGWE 

Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki kushoto akiangalia baadhi ya dokomenti picha na www.burudan.blogspot.com

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.