Mkutano huu unatajwa kuwa ni wa pili kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2012/2013, Madhumuni yake ni kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi. |
Wakaguzi hao walipata fursa ya kuimba wimbo wa mshikamano kwa wafanyakazi. |
Meza kuu nayo ilihusika na wimbo huo wa mshikamano. |
Mshikamano na Wakaguzi waliohudhuria mkutano wao wa Mwaka katika ukumbi wa Benki Kuu Mwanza. |
Picha namba moja. |
Picha namba mbili. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.