![]() |
| Je amenasa? |
![]() |
| Bado... |
![]() |
| Huyu ndiye mvuvi wa kesho. |
![]() |
| Mvuvi na samaki wake mkononi. |
![]() |
| Wavuvi mahiri wa kesho na mazao yao ufukweni. |
![]() |
| Waliobobea wakitoka kwenye shughuli za uvuvi ziwani katika eneo la Magu jijini Mwanza. |
![]() |
| Mitumbwi ufukweni. |
![]() |
| Fuata nyayo lakini chunguza kuwa ni za mnyama gani. |
![]() |
| Kivuli changu na mwaka 2013 nahisi kinaweza kuwa back ground ya deski topu yako. |
Tupe maoni yako









0 comments:
Post a Comment