ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, October 2, 2012

KUSHINDA KWA KISHINDO NEC TARIME WAFANYAKAZI WA NYANZA BOTLING WAMFANYIA MAPOKEZI MAZITO MH. GACHUMA.

Katika hali iliyokuwa na mvuto wa aina yake jana majira ya saa moja kasorobo jioni wafanyakazi wa Kampuni ya Nyanza Botling Company Limited ya jijini Mwanza walimuandalia 'Bonge la SapraizZ' Mkurugenzi wa kampuni hiyo Mh. Christopher Mwita Gachuma mara baada ya ushindi wa kishindo alioupata huko wilayani Tarime kugombea nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM  (NEC)


Gachuma akilakiwa na Jack Fish.


Ni parking ya bodaboda iliyotengeneza msafara kumpokea Gachuma kutokea Kisesa hadi Igoma jijini Mwanza.


Nilihoji baadhi ya wafanyakazi kiwandani hapa ni kwanini wameamua kufanya mapokezi hayo ile hali yana mlengo wa kisiasa ndani yake na hii ni kampuni inayozalisha bidhaa kwa Umma wa watanzania wasio na mlengo mmoja, wakadai kuwa kila mtu ananafasi ya kusadiki anachoamini kina manufaa kwake, Mh. Gachuma ni mkurugenzi wao amekuwa na mchango mkubwa kwao, hivyo hawana budi kushirikiana nae hata kwenye zama zake za furaha yake bila kujali itikadi za siasa walizonazo. Kiufupi wanamhesabu kama baba yao na si unafiki...  Nikaufyata''''''


Ze nyomi at ze Eria kwani watu walirejea majumbani kwao na kujikoki kimtoko zaidi.


Safu ya meza kuu.


Wadau waalikwa.


Mkurugenzi wa Gazeti la Mzawa James Nhende akitoa neno kama mgeni malikwa kwenye kusanyiko hilo.


Mambo ya shampeni yalikamilishwa na kikundi cha KWEA.


KWEA walikamilisha zoezi la Shampeni kwa miminamimina ya meza kuu.


Chiaz'''


Chiaz....'''''


Maua yana nafasi yake.


Tunuku za ziada.


Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza Stanslaus Mabula akitoa hi kwa kusanyiko. 


Kwa umakiiiini...


Dance la Kadogoli ngoma maarufu toka wilayani Ukerewe.


Tulikuwepo kama mashuhuda at zE EriA:- Kutoka kushoto ni Henry Kavirondo mwakilishi wa Channel Ten Mwanza, G. Sengo (Cluods Fm 88.1) na Hussein Mtanda.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.