ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, September 18, 2018

AGA KHAN YAWASOGEZEA WAKAZI WA BUNDA HUDUMA ZA AFYA.



NA ZEPHANIA MANDIA/GSENGOtV

Taasisi ya Aga Khan  nchini imekamilisha ujenzi wa hospitali kubwa  na ya kisasa katika wilaya ya Bunda mkoani Mara, ili kuwasaidia wananchi wa wilaya hiyo na maeneo jirani kupata huduma za afya kwa urahisi.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.