ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, July 15, 2018

KANGI LUGOLA ATEMBELEA KITUO KIKUU CHA UZALISJHAJI VITAMBULISHO VYA TAIFA KIBAHA, MKOANI PWANI


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Kangi Lugola, akimuuliza swali,Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Uzalishaji Vitambulisho, Alphonce Malibiche (kushoto), wakati wa ziara ya kutembelea Kituo Kikuu cha Uzalishaji Vitambulisho vya Taifa,kilichopo Kibaha,Mkoani Pwani.Wapili kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(Nida),Andrew Masawe.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Uzalishaji Vitambulisho,Alphonce Malibiche,akifafanua jambo wakati wa ziara ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Kangi Lugola(wapili kulia),kutembelea Kituo Kikuu cha Uzalishaji Vitambulisho vya Taifa,kilichopo Kibaha,Mkoani Pwani.Wakwanza  kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(Nida),Andrew Masawe.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Kangi Lugola akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(Nida),Andrew Masawe wakati wa ziara yake ya kikazi  kutembelea Kituo Kikuu cha Uzalishaji Vitambulisho vya Taifa,kilichopo Kibaha,Mkoani Pwani.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Kangi Lugola akisalimiana na watumishi wa Mamlaka ya Vitambulisho vyaTaifa(Nida), baada ya kuwasili  Kituo Kikuu cha Uzalishaji Vitambulisho vya Taifa,kilichopo Kibaha, mkoani Pwani.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Kangi Lugola (watatu kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji Wakuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(Nida), baada ya kutembelea Kituo Kikuu cha Uzalishaji Vitambulisho vya Taifa,kilichopo Kibaha,Mkoani Pwani.Wapili kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(Nida),Andrew Masawe Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.