ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, July 12, 2018

KANGI LUGOLA ATEMBELEA IDARA YA UHAMIAJI MAKAO MAKUU JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akiangalia pasipotiya kielektroniki inayotolewa na Idara ya Uhamiaji, alipotembelea Makao Makuuya idara hiyo, jijini Dar es Salaam.Kulia ni Msimamizi wa chumba cha Uchapaji,Mrakibu Msaidizi, Samuel Gambadu.

Waziri   wa   Wizara   ya  Mambo  ya   Ndani   ya  Nchi,   Kangi   Lugola,  akiongea   nawananchi   waliofika   Makao   Makuu   ya   Idara   ya   Uhamiaji,   kupata   hudumambalimbali zinazotolewa na idara hiyo.jijini Dar es Salaam.  

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akimuuliza swalimwananchi aliyefika Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji kupata huduma.WaziriLugola yupo katika ziara ya kikazi.

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dk. Anna Makakala, akizungumza na Waziri waWizara   ya   Mambo   ya   Ndani   ya   Nchi,   Kangi   Lugola,   aliyefika   Idara   yaUhamiaji,jijini   Dar   es   Salaam,wakati   wa   ziara   ya   kikazi.

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dk. Anna Makakala, akimkaribisha    Waziri waWizara   ya   Mambo   ya   Ndani   ya   Nchi,   Kangi   Lugola,aliyefika   Idara   yaUhamiaji,jijini   Dar   es   Salaam,wakati   wa   ziara   ya   kikazi.

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINIWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.