ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, June 22, 2018

MKUTANO WA WADAU KUPINGA BIASHARA HARAMU YA BINADAMU WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

 Katibu wa Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji waBinadamu, iliyopo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani, Separatus Fella, akizungumza nawakati wa kikao cha kujadili mikakati ya kupambana na biashara hiyo, ambapo maadhimisho yamwaka huu ya kupinga biashara hiyo yanatarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi wasita.Kikao hicho kimefanyika Ukumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,jijini   Dar esSalaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
 Mwenyekiti wa Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji waBinadamu, iliyopo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani, Adatus Magere, akizungumza nawakati wa kikao cha kujadili mikakati ya kupambana na biashara hiyo.Kikao hicho kimefanyikaUkumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo yaNdani ya Nchi
 Mshiriki wa Kikao cha Kujadili mikakati ya kupambana na biashara haramu ya binadamu kutokaShirika la Utangazaji Tanzani(TBC), Prudence Constantine, akichangia hoja wakati wa kikaohicho kilichofanyika Ukumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,jijini Dar es Salaam.Picha naWizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
 Mshiriki wa Kikao cha Kujadili mikakati ya kupambana na biashara haramu ya binadamu kutokaJeshi la Polisi , ACP Rogathe Mlasani, akichangia hoja wakati wa kikao hicho kilichofanyikaUkumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo yaNdani ya Nchi
 Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linashughulikia Masuala ya Ongezeko la Watu(UNFPA), Jacqueline Mahon, akizungumza wakati wa Kikao cha Kujadili mikakati yakupambana na biashara haramu ya binadamu wakati wa kikao kilichofanyika Ukumbi wa MakaoMakuu ya Jeshi la Polisi,jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Msaidizi wa mwakilishi huyo, AnnaHolmstrom.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mshiriki wa Kikao cha Kujadili mikakati ya kupambana na biashara haramu ya binadamu kutokaVyombo vya Habari vya Azam,Yahya Mohamed , akichangia hoja wakati wa kikao hichokilichofanyika Ukumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,jijini Dar es Salaam.Picha naWizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.