ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, May 3, 2018

VIDEO:- DC MAGU AMSIMAMISHA MWENYEKITI WA KITONGOJI KWA TUHUMA ZA KUUZA KIWANJA CHA MAKABURI

MKUU wa wilaya ya Mwagu mkoani Mwanza Hadija Nyembo amemsimamisha kazi mwenyekiti wa kitongoji cha Igudija Ntagala Moses baada ua kudaiwa kutumia vibaya madaraka aliyonayo ikiwemo kuuza eneo la makaburi kinyume cha utaratibu.

Uamuzi wa mkuu huyo wa wilaya ya Magu umekuja baada ya wakazi wa kitongoji hicho kumtaka mwenyekiti huyo kujiuzuru nafasi yake baada ya kuuza eneo walilokiwa wametenga kwaajili ya mazishi kinyume na utaratibu na kusababisha kukosekana kukosena kwaeneo la kuzikia hali hiyo ikapelekea mkuu huyo wa wilaya ya Magu kumsimamisha kazi mwenyekiti huyo wa kitongoji kupisha uchunguzi.

VIDEO YAJA HIVI PUNDE.....

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.