ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, May 21, 2018

MIAKA 22 SASA TANGU AJALI YA MV BUKOBA.

Leo ni miaka 22 tangu wapendwa wetu watutoke kwenye ajali ya #MvBukoba.
.
Tumezungumza na Mussa Ntobi jamaa ambaye analihudumia eneo hilo la makaburi tangu mwaka wa ajali hadi Leo naye alishiriki kuchimba makaburi hayo mwaka 1996. Anadai eneo hilo kutelekezwa na hata mshahara wake unakusuasua..... nao wahusika wametoa majibu.
.
Twazidi kuwaombea kwa Mungu wale wote waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo, pia twawapa pole tena na tena wale wote ambao ndugu zao walikumbwa na madhila hayo.
Amina! - 

Tupate kupitia Jembe Fm Mwanza saa 5 asubuhi hadi saa 7 mchana #KAZINANGOMA

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.