ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, January 22, 2018

VIDEO:- HAWA HAPA 10 WALIONASWA NA TAKUKURU MWANZA KWA UTAPELI WA AJIRA


Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa mkoani Mwanza, inawashikilia watu 10 akiwemo Mkurugenzi mkuu wa shirika lisilo la kiserikali linaloshughulika na kusaidia mama na mtoto pamoja watu wanaioshi na virusi vya ukimwi, Andrea  Mabagala kwa tuhuma za kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu kinyume cha sheria.


Mkuu wa Takukuru mkoani Mwanza, Ernest Makale, amewaambia waandishi wa habari kuwa watuhumiwa hao wamekuwa wakiwatapeli watu mbalimbali wakiwemo wahitimu wa vyuo vikuu kwa lengo la kuwapatia ajira kinyume cha sheria.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.