ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, December 10, 2017

MAAFALI YA NNE CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM) MWANZA YALIVYONOGA.


PICHA/VIDEO NA ZEPHANIA MANDIA WA GSENGO BLOG.

KASI ya maendeleo katika uchumi wa nchi yoyote ile inategemea kuwekeza katika rasilimali watu... 

Nayo elimu imekuwa ndiyo msingi wa uwekezaji.

Naam ni matarajio ya Taifa pamoja na wananchi wengi kwamba baada ya watu wetu kuhitimu watakuwa na upeo wa hali ya juu katika kupambana na changamoto watakazokumbana nazo sehemu za kazi.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.