ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, December 18, 2017

KUEPUSHA MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI, GAMBO AHAMISHIA KASI YAKE HAPAMkuu wa Mkoa wa Arusha, Mh Mrisho Gambo kwa kushirikiana na Naibu Waziri wa Mifugo (Mhe. Ulega) pamoja na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro, mapema leo akishiriki kuzindua kampeni ya Upigaji Chapa Mifugo Kata ya Nainokanoka Wilayani Ngorongoro.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.