ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, December 11, 2017

BREAKING NEWS: NI KHERI JAMES U-ENYEKITI UVCCM


Kutoka mjini Dodoma matokeo ya Uchaguzi Mkuu UVCCM Taifa yametangazwa na hatimaye ile nafasi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kwamba yaenda kwa nani... IMEJULIKANA 

Kura zimetosha ni Kheri James..... U-enyekiti UVCCM Taifa

Kheri James ni Mwenyekiti Mpya UVCCM TAIFA na Tabia Mwita ni Makamo Mwenyekiti wake. *Matokeo ya uchaguzi mkuu 
Uenyekiti UVCCM TAIFA*
1. Kheri  James 319
2. Tobias Mwesiga 127
3. Simon Kipala 67
4. Kamana Juma 27
5. Juma Mwaipaja 19
6. Seif Mtoro 16

7. Mganwa Nzota 1  - FUATILIA MATANGAZO YA MOJA KWA MOJA YA SIKU YA PILI YA MKUTANO MKUU WA TISA(9) WA UVCCM UNAOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA CHUO CHA MIPANGO DODOMA

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.