ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, November 30, 2017

BREAKING NEWS: VIDEO MATOKEO UCHAGUZI UVCCM 2017 MKOA WA MWANZA


Baada ya majina yote ya wagombea nafasi ya U-enyekiti yaliyorudi baada ya kupitishwa kuchinjiwa baharini saa chache kabla ya uchaguzi na kutokea bonge moja la seleka ukumbini, usiku wa saa nne na dakika 25 matokeo yanatangazwa na mwenyekiti wa Uchaguzi huo, uliohamishiwa ndani ya uwanja wa CCM Kirumba jijini hapa.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.