ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, October 22, 2017

WAKUU WA MASHIRIKA NA TAASISI ZA UMMA WABADILISHANA UZOEFU JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa muda wa kundi la wakuu wa Mashirika na Taasisi za Umma, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji  wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania, (TIC), Bw.Geoffrey Idelphonce Mwambe, (aliyesimama) akizungumza na baadhi ya wakuu wakuu hao, kwenye kikao cha kubadilishana uzoefu kwa nia ya kuongeza ufanisi ili kwenda sambamba na kasi ya serikali ya awamu ya tano. Mkutano huo ulifanyika makao makuu ya PSPF jijini Dar es Salaam Oktoba 20, 2017
Mwenyekiti wa muda wa kundi la wakuu wa Mashirika na Taasisi za Umma, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji  wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania, (TIC), Bw.Geoffrey Idelphonce Mwambe, (aliyesimama) akizungumza na baadhi ya wakuu wakuu hao, kwenye kikao cha kubadilishana uzoefu kwa nia ya kuongeza ufanisi ili kwenda sambamba na kasi ya serikali ya awamu ya tano. Mkutano huo ulifanyika makao makuu ya PSPF jijini Dar es Salaam Oktoba 20, 2017. Kulia ni Katibu wa muda wa kundi hilo, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, (HELSB), Bw. Abdul –Razak Badru


 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchni, (TAA), Bw.Richard Mayongela, (kulia), akizungumza kwenye kikao hicho. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Magzeti ya Serikali, (TSN), Dkt. Jim Yonazi, na Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Bw.Laurean Bwanakunu.

Mkurugenzi Mkuu wa  Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, akizungumza kwenye kikao hicho. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE, Bw. Edwin Rutageruka.


 Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE, Bw. Edwin Rutageruka.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Magazeti ya Serikali (TSN), Dkt. Jim Yonazi, (aliyesimama), akizungumza,



Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania, (TBS), Profesa Egid Beatus Mubofu, akizungumza.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchni, (TAA), Bw.Richard Mayongela

Mtendaji Mkuu wa DART, Mhandisi Bw. Ronald Lwakatare,, akipitia ajenda za kikao hicho.

Mkurugenzi Mkuu wa  Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, akizungumza kwenye kikao hicho. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE, Bw. Edwin Rutageruka.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.