ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, September 25, 2017

HABARI PICHA: TCRA YAELEZA JINSI YA KUHAMA MTANDAO MMOJA KWENDA MWINGINE.

NAIBU Mkurugenzi kuhusu masuala ya huduma na bidhaa za mawasiliano, kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ‘TCRA’ Thadayo Ringo, akielezea namna ambavyo, mteja wa kampuni moja ya simu anavyoweza kuhama kutoka kampuni hiyo na kuhamia nyengine kwa namba yake ile ile ya simu, wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza. BOFYA PLAY KUSIKIA KWANINI WATU UHAMA MTANDAO.

TCRA yatoa mafunzo kwa waandishi jijini Mwanza mteja anavyoweza kuahama kutoka mtandao mmoja kwenda mtandao mwengine kwa namba yake ile ile.

 WAANDISHI wa habari jijini Mwanza, waliohudhuria mkutano ulioandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ‘TCRA’ juu ya namna ya kuhama mtandao mmoja kwenda mwengine, kwa namba ile ile ya mtando unaohama, mkutano huo umefanyika mwishoni mwa wiki.

Jeh ni kwanini baadhi ya mitandao hupatikana mijini tu lakini wilayani,vijijini haipatikani? BOFYA PLAY KUSIKILIZA KILICHOJIRI.

 Mhandisi Mwandamizi wa huduma na bidhaa za mawasiliano, kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ‘TCRA’ Mwesigwa Felician, akielezea hatua za kufanya kabla ya mteja kuhama mtandao mmoja kwenda mwengine, akitumia namba yake ile ile ya mtandao anaohama.

 Mhandisi Mwandamizi wa huduma na bidhaa za mawasiliano, kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ‘TCRA’ Mwesigwa Felician akikazia kuhusu sababu za kuhama mtandao.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.