ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, August 7, 2017

MWANZA: G Nako, Chegge na Nandy walivyopagawisha Show ya Saida Karoli

Mwimbaji staa wa nyimbo za asili Saida Karoli August 5, 2017 alikuwa katika Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza katika muendelezo wa kutoa burudani kwa mashabikia wa Kanda ya Ziwa ambapo alisindikizwa na Nandy, Chegge na G Nako.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.