ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, July 14, 2017

WAZIRI MWIGULU AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akizungumzana Naibu Balozi wa Marekani nchini, Dk. Inmi Patterson na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Siasana Uchumi wa Ubalozi huo, Marilyn Gayton (kulia), walipomtembelea ofisini kwake kujadili masuala mbalimbali ya Ulinzi na Usalama, jijini Dar es Salaam leo .Kushoto ni Katibu wa Waziri, Nelson Kaminyoge. Pichana Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

CAP PIX 2

NaibuBaloziwaMarekaninchini,Dk. Inmi Patterson, akizungumzanaWaziri waWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi,MwiguluNchemba, alipomtembeleaWaziri huyokujadiliMasualayaUlinzinaUsalama,jijini Dar es Salaam leo.KulianiKaimuMkuuwaKitengo cha SiasanaUchumiwaUbalozihuo,MarilynGaytonnakushotoniKatibuwaWaziri,NelsonKaminyoge.PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi

CAP PIX 3

Waziri waWizarayaMambo yaNdaniyaNchi,MwiguluNchemba, akimsikilizaNaibuBaloziwaMarekaninchini,Dk. Inmi Patterson(kulia) alipomtembeleaofisinikwakekujadiliMasualayaUlinzinaUsalama,jijini Dar es Salaam leo.PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi

CAP PIX 4

Waziri waWizarayaMambo yaNdaniyaNchi,MwiguluNchemba, akiwakatikapichayapamojanaNaibuBaloziwaMarekaninchini,Dk. Inmi Patterson(kulia), baadayakumalizamazungumzoyaliyohusuMasualayaUlinzinaUsalama.Kikaohichokimefanyikaleojijini Dar esSalaam.PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.