ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, July 10, 2017

TUZO ZA MABALOZI WA USALAMA BARABARANI ZATOLEWA MKOANI DODOMA



 Mgeni Rasmi, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Simon Odunga, akisindikizwa na Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama Barabarani,Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) kuingia ukumbini wakati wa hafla ya kutunuku tuzo kwa Mabalozi wa Usalama Barabarani,iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Hotel ya Royal,mkoani Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
 Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani,Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini,Mohamed Mpinga akionyesha tuzo ya balozi bora wa usalama barabarani, aliyokabidhiwa na Mgeni Rasmi, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Simon Odunga(kushoto) wakati wa hafla ya kutunuku tuzo kwa mabalozi hao,wapili kushoto ni Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama Barabarani,Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni.Hafla hiyo  imefanyika mwishoni mwa wiki  katika Hotel ya Royal,mkoani Dodoma. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
 Mgeni Rasmi,Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Simon Odunga, akimkabidhi  Kamishna Msaidizi wa  Jeshi la Polisi, Fortunatus Musilimu(kulia) cheti cha kutambua mchango wake katika masuala ya  usalama barabarani wakati wa hafla ya kutunuku tuzo kwa Mabalozi wa Usalama Barabarani,wapili kushoto  ni Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama Barabarani,Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni.Hafla hiyo  imefanyika mwishoni mwa wiki  katika Hotel ya Royal,mkoani Dodoma. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
 Mgeni Rasmi,Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Simon Odunga, akimkabidhi  Mkurugenzi wa Barabara wa Mamlaka ya Usimamizi wa Usafirishaji wa Nchi Kavu na Majini(SUMATRA), Johansen Kahatano (kulia) cheti cha kutambua mchango wake katika masuala ya  usalama barabarani wakati wa hafla ya kutunuku tuzo kwa Mabalozi wa Usalama Barabarani,wapili kushoto  ni Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama Barabarani,Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni.Hafla hiyo  imefanyika mwishoni mwa wiki  katika Hotel ya Royal,mkoani Dodoma. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mgeni Rasmi,Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Simon Odunga(wakwanza  kushoto waliokaa) na Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama Barabarani,Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kushoto waliokaa), wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Mabalozi wa Usalama Barabarani mara baada ya kutunukiwa vyeti ikiwa ni utambuzi wa mchango wao katika masuala ya usalama barabarani,iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Hotel ya Royal,mkoani Dodoma. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.