ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, July 13, 2017

TANGAZO LA KUPOTELEWA NA MTOTO.


MTOTO ANAITWA HASHIMU NASIBU
ANA UMRI WA MIAKA KUMI NI MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI GEDELI.
AMEPOTEA SIKU YA ALHAMISITAREHE 29/06/2017 SAA NNE ASUBUHI.
AMETOWEKA AKIWA AMEVAA SHATI YA DRAFTI RANGI YA DAMU YA MZEE NA SURUALI YA JINSI YA RANGI YA BLUU NA NDALA ZA YEBOYEBO TUMESHATOA TAARIFA KATIKA KITUO CHA POLISI NYAKATO NATIONAL RB TUNAYO NA KWA YEYOTE ATAKAYE MUONA ATOE TAARIFA KITUO CHOCHOTE CHA POLISI AU KWA MAWASILIANO SIMU NAMBA: 0755 953223/0756 294028/0757 535482/
0654 864043.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.