ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, July 21, 2017

SIKU MBILI POLISI WAMNG'ANG'ANIA LISSU NA SASA MAWALIKI WAKE WAZUIWA KUMUONA.

Wakili wa Rais wa Chama Cha Wanasheria Nchini Tundu Lissu,  Fatma Karume amesema kuwa Jeshi la Polisi halipo tayari kumwachia kwa Dhamana Mbunge huyo wa Singida Mashariki.
Lissu alikamatwa Jana kwenye Uwanja wa Ndege  wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam, alipokuwa akirejea Kutoka Mjini Dodoma.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.