ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, July 19, 2017

SERIKALI YAMJIA JUU TUNDU LISSU, SERIKALI YAIONYA CHADEMA, SMARTPHONE KUANZA KUTENGENEZWA NCHINI, SIKU ZA ZITTO KABWE KUWA MBUNGE ZAHESABIKA.

Serikali yamjia juu Tundu Lissu, Serikali yaionya CHADEMA, Mgwira: Lowassa kuhamia CHADEMA ufisadi wa kisiasa,DC amweka ndani Nagu, Smartphone kuanza kutengenezwa nchini. 
 
Siku za Zitto kuwa mbunge zahesabika,mchungaji Mwingira aingia matatani,Balozi Seif awapa agizo maalum polisi,kigogo IPTL kulipwa Bil.5 Keko. Pata uchambuzi wa magazeti ya leo hapa.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.