ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, July 13, 2017

ROONEY APIGA MOJA KWA EVERTON KUINYUKA GOR MAHIA 2-1 UWANJA WA TAIFA.

 Mpira wa goli la kwanza, hadi mwisho wa mchezo Everton wanashinda bao 2-1, magoli yakifungwa na Rooney dakika ya 35 kabla  Tuyisenge wa Gor Mahia kusawazisha dakika mbili baadaye. Goli la ushindi la Everton limepatikana dakika ya 82 kupitia kwa Dowell.
 Rooney akishangilia goli lake la kwanza kwa Everton.
 Wachezaji wa Everton wakishangilia kwa kumpongeza Rooney.
Goli la ushindi la Everton limepatikana dakika ya 82 kupitia kwa Dowell.
Mkuu wa koa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda katika picha mbalimbali za matukio kwenye mchezo huo wa kimataifa wa kirafiki ulioputwa nchini Tanzania.
Shabiki huyu anawachoropoka walinzi na kisha kutinga katikati ya uwanja kumkumbatia Wayne Rooney.

Everton starting XI: Stekelenburg (GK), Kenny, Williams, Jagielka, Connolly, Schneiderlin, Lennon, Lookman, Mccathy, Klaassen and Wayne Rooney.

Gor Mahia XI (first half): Boniface Oluoch, Godfrey Walusimbi, Musa Mohammed, Haron Shakava, Karim Niziyimana, Ernest Wendo, Kenneth Muguna, George Odhiambo, Meddie Kagere, Jacques Tuyisenge, Boniface Omondi.

2nd half: Peter Odhiambo, Innocent Wafula, Mike Simiyu, Wellington Ochieng, Joachim Oluoch, Philemon Otieno, Francis Kahata, Jean Baptiste, Oliver Maloba, Jeconia Uyoga, Timothy Otieno.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.