ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, July 22, 2017

ROONEY USO KWA USO NA SAMATTA LEO.

Kocha Everton Fc, Ronald Koeman (kulia) akimpa maelekezo mshambuliaji wake, Wayne Rooney kwenye moja ya mazoezi ya timu hiyo.

Everton iko nchini Uholanzi kwa mazoezi ya mwisho hii leo kujiandaa na mchezo dhidi ya wenyeji, KRC Genk wanaijivunia mshambuliaji Mtanzania, Mbwana Samatta utakaopigwa leo Uwanja wa Luminus Arena, Genk, Ubelgiji 

Samata anayejulikana kuwa shabiki wa Manchester United anatarajiwa kukiongoza kikosi cha Genk ambacho kinakutana uso kwa uso na Rooney aliyepata umaarufu zaidi akiichezea Man U ambapo hii itakuwa ni nafasi nzuri kwa Samatta kukutana na nyota aliyekuwa akimshabikia.

Wikiendi iliyopita Samatta alifunga bao moja katika mchezo dhidi ya Ajax, mchezo uliomalizika kwa sare ya 3-3 ikiwa ni maandalizi ya msimu ujao wa ligi 2017-2018.

Nayo Everton wikiendi iliyopita ilikuwa nchini Tanzania ambapo ilipata mualiko kukiputa na Gor Mahia ambayo ilinyukwa na Everton 2-1.


Predicted starting XI


Looks like 4-3-3 will be Koeman’s formation of choice with the current squad -

Pickford; Baines, Keane, Williams, Kenny; Klaassen, Schneiderlin, Gueye; Sandro, Rooney, Mirallas. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.