ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, July 5, 2017

RAIS DKT MAGUFULI ASEMA AMEJITOLEA MAISHA YAKE KUPAMBANA NA UFISADI ILI WATANZANI WANUFAIKE NA RASILIMALI ZA TAIFA LAO.

Ni ndani ya ziara ya JPM mkoani Mwanza na hapa alikuwa katikati ya Jiji baada ya kutua na ilikuwa kabla ya kuelekea uwanja wa Michezo Nyamagana ambako alikwenda kushuhudia shughuli za maboresho yaliyofanyika. BY @gsengoTV

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.