ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, July 18, 2017

LIVE: IBADA YA KUAGA MWILI WA MKE WA MWAKYEMBE, KKKT KUNDUCHI -DAR

Mwili wa aliyekuwa Mke wa Waziri wa habari, Utamadubi, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, Bi. Linah George Mwakyembe unatarajiwa kuagwa leo katika Kanisa la KKKT lililopo Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam kabla ya kusafirishwa kwenda wilayani Kyela mkoani Mbeya kwa ajili mazishi.Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.